-
Ezekieli 40:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Kisha akapima ua wa ndani. Ulikuwa na urefu wa mikono 100 na upana wa mikono 100, mraba. Madhabahu ilikuwa mbele ya hekalu.
-