-
Ezekieli 40:47Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
47 Naye akapima ua wa ndani. Urefu wake ulikuwa mikono 100, na upana mikono 100, mraba. Nayo madhabahu ilikuwa mbele ya nyumba.
-