Ezekieli 40:48 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 48 Kisha akanileta kwenye ukumbi wa hekalu,+ naye akapima nguzo ya pembeni ya ukumbi, nayo ilikuwa mikono mitano upande mmoja na mikono mitano upande wa pili. Upana wa lango ulikuwa mikono mitatu upande mmoja na mikono mitatu upande wa pili.
48 Kisha akanileta kwenye ukumbi wa hekalu,+ naye akapima nguzo ya pembeni ya ukumbi, nayo ilikuwa mikono mitano upande mmoja na mikono mitano upande wa pili. Upana wa lango ulikuwa mikono mitatu upande mmoja na mikono mitatu upande wa pili.