Ezekieli 41:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Akapima urefu wa jengo lililotazama eneo lililo wazi upande wa nyuma, pamoja na mabaraza yake pande zote mbili, na urefu wake ulikuwa mikono 100. Pia akapima sehemu ya nje ya patakatifu, sehemu ya ndani ya patakatifu,+ na zile kumbi za ua,
15 Akapima urefu wa jengo lililotazama eneo lililo wazi upande wa nyuma, pamoja na mabaraza yake pande zote mbili, na urefu wake ulikuwa mikono 100. Pia akapima sehemu ya nje ya patakatifu, sehemu ya ndani ya patakatifu,+ na zile kumbi za ua,