16 pia vizingiti, madirisha yenye viunzi ambavyo ukubwa wake ulipungua kutoka nje kwenda ndani,+ na mabaraza yaliyokuwa katika sehemu hizo tatu. Karibu na kizingiti kulikuwa na mbao+ zilizofunika kuta kuanzia sakafuni mpaka kwenye madirisha; nayo madirisha yalikuwa yamefunikwa.