13 “Hivi ndivyo vipimo vya madhabahu kwa kipimo cha mikono+ (kila mkono uliongezwa kiganja kimoja). Sehemu yake ya chini ni mkono mmoja na upana wake mkono mmoja. Ina ukingo ambao upana wake ni shubiri moja kuzunguka pembeni. Hiyo ndiyo sehemu ya chini ya madhabahu.