13 “Na hivi ndivyo vipimo vya madhabahu kwa kipimo cha mikono,+ mkono mmoja ukiwa ni mkono mmoja na upana wa kiganja+ kimoja. Nayo sehemu yake ya chini ni mkono mmoja. Na mkono mmoja upana wake. Na mpaka wake uko juu ya mdomo wake kuzunguka pande zote, shubiri moja. Na huo ndio msingi wa madhabahu.