-
Ezekieli 43:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Kuanzia sehemu ya chini ya sakafu mpaka kwenye kidato cha chini kinachozunguka pande zote ni mikono miwili, na upana wake ni mkono mmoja. Kuanzia kidato kidogo kinachozunguka pande zote mpaka kwenye kidato kikubwa kinachozunguka pande zote ni mikono minne, na upana wake ni mkono mmoja.
-