-
Ezekieli 43:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na kutoka sehemu ya chini kwenye sakafu mpaka kwenye rafu ya chini inayozunguka kuna mikono miwili, nao upana ni mkono mmoja. Na kutoka ile rafu ndogo mpaka kwenye ile rafu kubwa inayozunguka kuna mikono minne, nao upana wake ni mkono mmoja.
-