-
Ezekieli 43:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Pande nne za kidato kinachozunguka zina urefu wa mikono 14 na upana wa mikono 14; na ukingo unaozunguka ni nusu mkono, na sehemu yake ya chini ni mkono mmoja pande zote.
“Na ngazi zake zinatazama upande wa mashariki.”
-