-
Ezekieli 43:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Nayo rafu inayozunguka ina urefu wa mikono kumi na minne, na upana wa mikono kumi na minne, pande zake nne; nao mpaka unaoizunguka ni nusu mkono, nayo sehemu yake ya chini ni mkono mmoja kuzunguka pande zote.
“Nazo ngazi zake zinaelekea mashariki.”
-