-
Ezekieli 43:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Katika siku ya pili utatoa mbuzi dume ambaye hana kasoro kwa ajili ya dhabihu ya dhambi; nao wataitakasa madhabahu kutokana na dhambi kama walivyoitakasa kutokana na dhambi kwa kutumia yule ng’ombe dume mchanga.’
-