-
Ezekieli 43:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na siku ya pili utaleta karibu dume la mbuzi, ambaye hana kasoro, awe toleo la dhambi; nao wataitakasa madhabahu kutokana na dhambi kama vile walivyoitakasa kutokana na dhambi kwa yule ng’ombe-dume mchanga.’
-