-
Ezekieli 43:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “‘Utakapomaliza kuitakasa kutokana na dhambi, utatoa ng’ombe dume mchanga wa kundi ambaye hana kasoro na kondoo dume wa kundi ambaye hana kasoro.
-