-
Ezekieli 43:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 “ ‘Wakati utakapomaliza kutakasa kutokana na dhambi utamleta karibu ng’ombe-dume mchanga, mwana wa mifugo, ambaye hana kasoro, na kondoo-dume kutoka katika kundi, ambaye hana kasoro.
-