-
Ezekieli 47:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kisha akapima mikono mingine 1,000 na kunipitisha katika maji, nayo yalifika mpaka kwenye magoti.
Akapima mikono mingine 1,000 na kunipitisha humo, na maji hayo yalifika kiunoni.
-