-
Ezekieli 47:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Naye akaendelea kupima elfu moja kisha akanipitisha katikati ya maji yale, maji yanayofika kwenye magoti.
Naye akaendelea kupima elfu moja na sasa akanipitisha katikati—maji yanayofika kiunoni.
-