48 “Haya ndiyo majina ya makabila hayo, kuanzia mpaka wa kaskazini: Sehemu ya Dani+ inapita kwenye njia ya Hethloni hadi Lebo-hamathi+ hadi Hasar-enani, kwenye mpaka wa Damasko kuelekea kaskazini kando ya Hamathi;+ nayo inaanzia mpaka wa mashariki hadi mpaka wa magharibi.