Ezekieli 48:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 “Urefu wa sehemu inayobaki utalingana na mchango mtakatifu,+ upande wa mashariki mikono 10,000, na upande wa magharibi 10,000. Italingana na mchango mtakatifu na mazao yake yatakuwa chakula cha wale wanaolitumikia jiji.
18 “Urefu wa sehemu inayobaki utalingana na mchango mtakatifu,+ upande wa mashariki mikono 10,000, na upande wa magharibi 10,000. Italingana na mchango mtakatifu na mazao yake yatakuwa chakula cha wale wanaolitumikia jiji.