-
Danieli 1:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Lakini Danieli aliazimia moyoni mwake kwamba hatajichafua kwa vyakula bora vya mfalme wala divai yake. Basi akamwomba ofisa mkuu wa makao ya mfalme ruhusa ya kutojichafua kwa njia hiyo.
-