Danieli 2:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Danieli akamjibu mfalme: “Hakuna mwanamume yeyote mwenye hekima, wala mtu anayefanya mazingaombwe, wala kuhani yeyote mchawi, wala mnajimu yeyote anayeweza kukufunulia wewe mfalme siri unayoomba ifunuliwe.+
27 Danieli akamjibu mfalme: “Hakuna mwanamume yeyote mwenye hekima, wala mtu anayefanya mazingaombwe, wala kuhani yeyote mchawi, wala mnajimu yeyote anayeweza kukufunulia wewe mfalme siri unayoomba ifunuliwe.+