-
Danieli 2:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Na kama vile vidole vyake vya miguu vilikuwa kwa sehemu vya chuma na kwa sehemu vya udongo wa mfinyanzi, ndivyo ufalme huo utakavyokuwa na nguvu kwa sehemu na kuwa dhaifu kwa sehemu.
-