-
Danieli 3:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ndipo Nebukadneza, kwa hasira kali sana, akaagiza Shadraki, Meshaki, na Abednego waletwe mbele yake. Basi wanaume hao wakaletwa mbele ya mfalme.
-