-
Danieli 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Kwa sababu amri ya mfalme ilikuwa kali sana na tanuru lilikuwa na moto mkali isivyo kawaida, miali ya moto huo iliwaua wanaume waliowapeleka Shadraki, Meshaki, na Abednego.
-