-
Danieli 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na kwa kuwa neno la mfalme lilikuwa kali na tanuru ilitiwa moto kupita kiasi, hao wanaume ambao waliwachukua Shadraki, Meshaki na Abednego ndio waliouawa na mwali wa moto.
-