-
Danieli 5:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Wakati huohuo, vidole vya mkono wa mwanadamu vikatokea na kuanza kuandika kwenye lipu ya ukuta wa jumba la mfalme unaoelekeana na kinara cha taa, na mfalme aliweza kuona sehemu ya nyuma ya mkono huo ulipokuwa ukiandika.
-