-
Danieli 5:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Alifukuzwa mbali kutoka kati ya wanadamu, na moyo wake ukafanywa kuwa kama wa mnyama, akaishi na punda mwitu. Alipewa majani ale kama ng’ombe dume, na mwili wake ukalowa umande wa mbinguni, mpaka alipojua kwamba Mungu Aliye Juu Zaidi ni Mtawala katika ufalme wa wanadamu na kwamba yeye humweka yeyote amtakaye juu ya ufalme huo.+
-