Danieli 6:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Basi mfalme akatoa agizo, nao wakamleta Danieli na kumtupa ndani ya shimo la simba.+ Mfalme akamwambia Danieli: “Mungu wako unayemtumikia daima, atakuokoa.” Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 6:16 dp 120, 122, 126-127; w96 11/15 9 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:16 Unabii wa Danieli, kur. 120-122, 126-127 Mnara wa Mlinzi,11/15/1996, uku. 912/1/1988, uku. 14
16 Basi mfalme akatoa agizo, nao wakamleta Danieli na kumtupa ndani ya shimo la simba.+ Mfalme akamwambia Danieli: “Mungu wako unayemtumikia daima, atakuokoa.”