24 Kisha mfalme akatoa agizo, na wanaume waliokuwa wamemshtaki Danieli wakaletwa, nao wakatupwa ndani ya lile shimo la simba, pamoja na wake zao na watoto wao. Kabla hawajafika chini shimoni, simba waliwashinda nguvu na kuvunjavunja mifupa yao yote.+