4 Nikamwona huyo kondoo dume akisonga mbele kwa nguvu kuelekea magharibi, kaskazini, na kusini, na hakuna mnyama yeyote wa mwituni aliyeweza kusimama mbele yake, wala hakukuwa na yeyote aliyeweza kuokoa kutoka katika nguvu zake.+ Alifanya apendavyo na kujikweza.