4 Nikamwona huyo kondoo-dume akisukuma kuelekea upande wa magharibi na wa kaskazini na wa kusini, wala hakuna wanyama-mwitu wowote walioendelea kusimama mbele yake, wala hakuna yeyote aliyekomboa kutoka mkononi mwake.+ Naye akafanya kulingana na mapenzi yake, akajivuna sana.