-
Danieli 8:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Alikuwa akija kumwelekea yule kondoo dume mwenye pembe mbili ambaye nilimwona amesimama mbele ya ule mfereji wa maji; alikuwa akikimbia kumwelekea kwa ghadhabu kubwa.
-