-
Danieli 8:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Akaja mpaka akamfikia yule kondoo-dume mwenye zile pembe mbili, ambaye nilikuwa nimemwona amesimama mbele ya ule mfereji; akaja akikimbia kumwelekea akiwa na ghadhabu yake yenye nguvu.
-