-
Danieli 11:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Mfalme huyo ataugeuza uso wake na kurudi kwenye nchi za pwani, naye atateka maeneo mengi. Na kamanda fulani atakomesha kwa faida yake mwenyewe ufidhuli kutoka kwa mfalme huyo, hivi kwamba ufidhuli huo hautakuwepo. Ataufanya umrudie mfalme huyo.
-