Danieli 11:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Naye atageuza uso wake kuelekea nchi za pwani+ na kuteka wengi. Na kiongozi mmoja ataikomesha shutuma kwa ajili yake mwenyewe kutoka kwa huyo hivi kwamba shutuma yake haitakuwapo. Atafanya irudi kwake yule. Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:18 dp 225-226, 231 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:18 Unabii wa Danieli, kur. 225-226, 231
18 Naye atageuza uso wake kuelekea nchi za pwani+ na kuteka wengi. Na kiongozi mmoja ataikomesha shutuma kwa ajili yake mwenyewe kutoka kwa huyo hivi kwamba shutuma yake haitakuwapo. Atafanya irudi kwake yule.