24 Wakati wa usalama, atavamia maeneo ya mkoa yenye utajiri mwingi zaidi na kufanya mambo ambayo baba zake na mababu zake hawakufanya. Atawagawia watu wake vitu alivyopora na nyara na mali; naye atapanga njama zake dhidi ya mahali penye ngome, lakini kwa muda tu.