Danieli 11:39 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 39 Naye atashinda ngome zilizoimarishwa kabisa akiwa pamoja na* mungu wa kigeni. Atawapa utukufu mwingi wale wanaomtambua,* naye atawafanya wawatawale watu wengi; na ataigawa ardhi kwa malipo. Danieli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 11:39 dp 276 Danieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 11:39 Unabii wa Danieli, uku. 276 Mnara wa Mlinzi,11/1/1993, uku. 19
39 Naye atashinda ngome zilizoimarishwa kabisa akiwa pamoja na* mungu wa kigeni. Atawapa utukufu mwingi wale wanaomtambua,* naye atawafanya wawatawale watu wengi; na ataigawa ardhi kwa malipo.