-
Danieli 11:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Naye atatenda kwa njia yenye matokeo juu ya ngome zilizoimarishwa, pamoja na mungu wa kigeni. Yeyote anayemtambua atamfanya awe na utukufu mwingi, naye atawafanya watawale kati ya wengi; naye ataigawa nchi kwa bei.
-