-
Hosea 2:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Nami nitaharibu mizabibu yake na mitini yake, ambayo amesema hivi kuihusu:
“Haya ni malipo yangu, niliyopewa na wapenzi wangu”;
Nitaifanya iwe misitu,
Na wanyama wa mwituni wataila kwa pupa.
-