Yoeli 1:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Mzabibu umekauka,Mtini umenyauka. Mkomamanga, mtende, na mtofaa,Miti yote shambani imekauka;+Kwa maana badala ya kuwa na shangwe, watu wameshikwa na aibu. Yoeli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:12 w98 5/1 10 Yoeli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:12 Mnara wa Mlinzi,5/1/1998, uku. 10
12 Mzabibu umekauka,Mtini umenyauka. Mkomamanga, mtende, na mtofaa,Miti yote shambani imekauka;+Kwa maana badala ya kuwa na shangwe, watu wameshikwa na aibu.