Yoeli 1:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Mzabibu umekauka, na hata mtini umedhoofika. Nao mkomamanga, pia mtende na mtofaa, miti yote ya shamba imekauka;+ kwa maana furaha imetoweka kwa aibu katika binadamu.+ Yoeli Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:12 w98 5/1 10 Yoeli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:12 Mnara wa Mlinzi,5/1/1998, uku. 10
12 Mzabibu umekauka, na hata mtini umedhoofika. Nao mkomamanga, pia mtende na mtofaa, miti yote ya shamba imekauka;+ kwa maana furaha imetoweka kwa aibu katika binadamu.+