3 Moto unateketeza kila kitu kilicho mbele yake,
Na vitu vilivyo nyuma yake vinateketezwa na mwali wa moto.+
Kabla halijapita nchi huwa kama bustani ya Edeni,+
Lakini baada ya kupita nchi inabaki nyika iliyo ukiwa,
Na hakuna chochote kinachoweza kuponyoka.