-
Yoeli 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Nitamfukuza mbali nanyi mkaaji wa kaskazini;
Nitamtawanya katika nchi kavu iliyo ukiwa,
Walinzi wake wa mbele kuelekea bahari ya mashariki*
Na walinzi wake wa nyuma kuelekea bahari ya magharibi.*
Na harufu yake mbaya itapanda juu,
Na uvundo wake utaendelea kupanda juu;+
Kwa maana Atafanya mambo makuu.’
-