Yoeli 2:27 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 27 Nanyi mtalazimika kujua kwamba nimo miongoni mwa Waisraeli+Na kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu+—hakuna mwingine! Watu wangu hawataaibishwa tena kamwe. Yoeli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 2:27 Mnara wa Mlinzi,5/1/1992, uku. 13
27 Nanyi mtalazimika kujua kwamba nimo miongoni mwa Waisraeli+Na kwamba mimi ni Yehova Mungu wenu+—hakuna mwingine! Watu wangu hawataaibishwa tena kamwe.