Obadia 7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Wamekufukuza hadi mpakani. Washirika wako wote* wamekudanganya. Watu walio na amani pamoja nawe wamekushinda. Wale wanaokula mkate pamoja nawe wataweka wavu chini yako,Lakini hutatambua. Obadia Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 mstari 7 jd 135-136 Obadia Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7 Siku ya Yehova, kur. 135-136 “Kila Andiko,” uku. 152 Mnara wa Mlinzi,4/15/1989, uku. 30
7 Wamekufukuza hadi mpakani. Washirika wako wote* wamekudanganya. Watu walio na amani pamoja nawe wamekushinda. Wale wanaokula mkate pamoja nawe wataweka wavu chini yako,Lakini hutatambua.