8 Waliobaki wa Yakobo watakuwa miongoni mwa mataifa,
Miongoni mwa mataifa mengi,
Kama simba miongoni mwa wanyama wa mwituni,
Kama mwanasimba miongoni mwa makundi ya kondoo,
Ambaye hupita na kurukia na kurarua vipandevipande;
Wala hakuna yeyote wa kuwaokoa.