3 Hasira yangu inawaka dhidi ya wachungaji,
Nitawaadhibu viongozi wanaowakandamiza watu;
Kwa maana Yehova wa majeshi amelielekezea uangalifu kundi lake,+ ameielekezea uangalifu nyumba ya Yuda,
Naye amewafanya wawe kama farasi wake mwenye fahari vitani.