Zekaria 10:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+
11 Ni lazima apite baharini kwa msukosuko;Na humo baharini atayapiga mawimbi yatulie;+Vilindi vyote vya Mto Nile vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitashushwa,Na fimbo ya mfalme wa Misri itaondoka.+