-
Zekaria 11:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Omboleza kwa sauti, ewe mberoshi, kwa maana mwerezi umeanguka;
Miti mikubwa imeharibiwa!
Ombolezeni kwa sauti, enyi mialoni ya Bashani,
Kwa maana msitu mnene umefyekwa!
-