4 Siku hiyo miguu yake itasimama kwenye Mlima wa Mizeituni,+ unaotazamana na jiji la Yerusalemu upande wa mashariki; na Mlima wa Mizeituni utagawanyika katikati, kuanzia mashariki mpaka magharibi, na bonde kubwa sana litatokea; na nusu ya mlima huo itaelekea kaskazini, na nusu nyingine kusini.